Ilo laweza kutokea a hasa katika mechi ya Simba vs Galaxy, tuombe Mungu yasitokee kwetu. Hali hii hutokea na kufanya timu husika kuondoka uwanjani usiku wa manane chini ya ulinzi Mkali.Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Galaxy ndo kibonde wa ligi,mechi ya mwisho tunawafunga kifua mbeleIlo laweza kutokea a hasa katika mechi ya Simba vs Galaxy, tuombe Mungu yasitokee kwetu. Hali hii hutokea na kufanya timu husika kuondoka uwanjani usiku wa manane chini ya ulinzi Mkali.
Hawakutegemea kabisaWeeee usinambiee... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kutowafunga vibonde ndio uwa sababu ya timu ku popolewa mawe kwakua matumaini uwa makubwa kuliko uhalisia wa timu husika iliyotegemewa kushinda.Galaxy ndo kibonde wa ligi,mechi ya mwisho tunawafunga kifua mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Nye si mmezoea hata mkitolewa mashabiki hawana noma washazoea kukaa miaka 25 bila kuingia robo ya club bingwa mnakiwa kimya kama vibudu, sisi hatujazoeaKutowafunga vibonde ndio uwa sababu ya timu ku popolewa mawe.
Kama hujui kitu kuuliza sio dhambi,Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mashabiki wa Waydad ndiyo hawa wanywa supu ya vibudu ?Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga si wanaongoza kundi lao!Kutowafunga vibonde ndio uwa sababu ya timu ku popolewa mawe kwakua matumaini uwa makubwa kuliko uhalisia wa timu husika iliyotegemewa kushinda.
Bora unyamaze mzee unazeeka vibaya..Kutowafunga vibonde ndio uwa sababu ya timu ku popolewa mawe kwakua matumaini uwa makubwa kuliko uhalisia wa timu husika iliyotegemewa kushinda.
WalichanganyikaHao mashabiki wa Waydad ndiyo hawa wanywa supu ya vibudu ?
HIVI VITU VIMEFANYIKA KWA WAARABU SI VIZURI AZAM KUONESHA JAMBO BAYA LINALIFANYIKA KWA WATU HAO.Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni maadili au nini wakati DSTV huwa inaweka kila kitu hadharani, baada ya mechi tu kuisha benchi la ufundi la wydad na wachezaji wao walifurumishwa chupa na vitu vingine na mashabiki wao waliokuja nao wachezaji wakarudi uwanjani ili wawe mbali
Sent using Jamii Forums mobile app