THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habar Mwanajukwa.
Tanzania tuna penda Mpira sawa ila tuna ujinga mwingi sana.
Watanzania wapenda soka wapo tayar kuhatarisha maisha ya mchezaji kisa kitu flani tu.
Pacome mliambiwa na Kocha na taarfa ilikuepo kua yupo Injured na Injury yake alikua anacheza nayo kwa mda mrefu so alivyoanza matibabu ikagundulika itachukua mda mrefu kupona na mlikua mnajua kabisa.
Siku zikaenda ikatoka barua ya TFF ikisema sijui nini..wachambuzi wenu ambao ni vilaza zaidi wakaanza kuwaletea story za Pacome...Mkajaa mkaanza kushinikiza Acheze Like serious?..Na vile Nchi yetu ilivyo ya ajabu kila sehemu Kila Idara, kweli Viongozi na bench likaanza kumchezesha ili kufurahisha kundi la watu wasio thamini Afya ya Mtu.
Mmeona anvyocheza sasa akiumia tena zaidi akakosa nafasi kuitwa hata National Team mtafurahia?
Nakumbuka Wachambuzi wenu hawahawa waliwajaza isaue ya Rotation.. mkaanza kusema kocha afanye Rotation..kocha akakubali nae maana Mpira wa Bongo mapichapicha sana Yanga akapoteza Vs IHEFU..Mkaona kumbe mlikosea mkakaa kimyaaaa.
Hilo halitoshi baada ya Michuano ya AFCON..Wachambuzi wenu wakawaingiza tena kwenye Ujinga uleule mara Aziz na Diarra wamesepa hawaonekan kambini mkaaanza kushinikiza zitolewe taarfa za kujua walipo huku wengi tunajua walitoka National Team so lazima wapumzike kidogo mlitaka waje moja kwa moja wasipumzike hata kidogo?
#MASHABIKI BADILIKEN