Mashabiki wa Real Madrid wachoshwa na Ronaldo

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
453
Reaction score
175
Kwa mujibu wa utafiti ulioendeshwa na gazeti la Uhispania la AS, asilimia 32.2 ya mashabiki waReal Madrid wakoradhi kumwona mchezaji bora wa mwaka huu Christiano Ronaldo akiondoka.
Utafiti huo uliofanywa baada ya kichapo cha 1 kwa nunge kutoka kwa timu ya Athletic Bilbao uliwauliza mashabiki wa Real Madrid ni nani wangependa kumwondoa katika safu ya washambuliaji kati ya Ronaldo, Bale na Benzema.
Benzema alionekana kuwa kupenzi wa mashabiki kwani ni asilimia 21.7 tu ndio waliochagua kumwondoa ikilinganishwa na asilimia 32.2 walichagua kumwondoa Ronaldo na asilimia 46.1waliochagua kumwondoa Bale.
Mashabiki hao pia walipendelea mbinu ya 4-4-2 kuliko ile ya 4-3-3 anayotumia Ancelotti hivi sasa.
Safu ya ushambuliaji ya Christiano, Benzima na Bale almaarufu kama BBC huenda ikawa matatani.
 
Pia wafanye utafiti pale Madrid inaposhinda na Christiano katupia. Kama hutopata 0% ya wale ambao wanataka aondoke.
Tatizo la mashabiki ni kuangalia upande mmoja tu.
 
Kwa mujibu wa utafiti ulioendeshwa na gazeti la Uhispania la AS, asilimia 32.2 ya mashabiki waReal Madrid wakoradhi kumwona mchezaji bora wa mwaka huu Christiano Ronaldo akiondoka.
Utafiti huo uliofanywa baada ya kichapo cha 1 kwa nunge kutoka kwa timu ya Athletic Bilbao uliwauliza mashabiki wa Real Madrid ni nani wangependa kumwondoa katika safu ya washambuliaji kati ya Ronaldo, Bale na Benzema.
Benzema alionekana kuwa kupenzi wa mashabiki kwani ni asilimia 21.7 tu ndio waliochagua kumwondoa ikilinganishwa na asilimia 32.2 walichagua kumwondoa Ronaldo na asilimia 46.1waliochagua kumwondoa Bale.
Mashabiki hao pia walipendelea mbinu ya 4-4-2 kuliko ile ya 4-3-3 anayotumia Ancelotti hivi sasa.
Safu ya ushambuliaji ya Christiano, Benzima na Bale almaarufu kama BBC huenda ikawa matatani.

Na mpaka sasa ndio anawabeba huko madrd 2-2 schk zote kaweka kambani
 
Wana wivu na wasiwasi kuwa atavunja rekodi ya mfungaji bora wa muda wote kama akibaki misimu mingine matatu! Wanataka rekodi hiyo iendelee kushikiliwa na mhispania!
 
Madrid ni timu isiyokuwa na shukrani milele hata ufanye nini hawajali na they don't care abt anything zaidi ya faida hao ndiyo Madrid timu ninayoishangilia sana
 
Back
Top Bottom