Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Huyo Ronaldo wao mbona haamii stoke city?.
 
Kama kweli vile. Je tangu CR7 aondoke hizo timu unazosema zinafanya makubwa je zina makubwa yapi kuzidi alipokuepo?

Yoyote hata kubwa kama mnavyomfananisha na Ronaldo ila bado CR 7 kamzidi pakubwa
Na vipi uko alipoenda kawafanyia makubwa yapi?.
 
Huyo Ronaldo wao mbona haamii stoke city?.

Anafata makombe, ndio club yenye uhakika wa kutwaa ubingwa serie A kila mwaka. Akienda stock city si atakua mtu wa kukaa golini wakipiga story na golikipa..sasa atayapata wapi ayo makombe.
 
So, do you need arguments, facts or opinions in this matter

Wewe ni mswahili kama mimi, tujadili kwa lugha yetu ili tuelewane.

Nimekuuliza swali, naomba unijibu. Ronaldo amefika mara ngapi final, au hata semifinals za wc na Uero cup?
 
Wewe ni mswahili kama mimi, tujadili kwa lugha yetu ili tuelewane.

Nimekuuliza swali, naomba unijibu. Ronaldo amefika mara ngapi final, au hata semifinals za wc na Uero cup?
I can't give an answer to you, coz up to this point I haven't recognized your side, it's either you are dealing with opinions or facts, make it clear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…