Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Sasa wewe mkuuHajafunga yeye lakini yeye ndo top scorer na ndo mchezaji Bora wa tournament
View attachment 1850711
Sasa mbichwa wa ronaldo una magoli mengi zaidi ya magoli ya atletico madrid ya uefaNi sawa na kidole gumba cha mguu wa Kushoto wa Messi
lile la utotoni auMessi kombe la kimataifa anayo mawili
Weka hiyo rekodi hapa tuioneKaangalie takwimu upya mzee
Nimesema magoli mengi ndani ya muda mfupi sijasema ndani ya msimu
Consistency mkubwa
And by the way japo wengi mnakataa hii theory lakini cr7 hakupata wasaa wa kuanza na kikosi bora duniani kama ilivo kwa messi
Katoka sporting kwanza ndo akaja man u tofauti na kijana wa la masia aliewakuta wakina villa iniesta na xavi barca
Najua utapinga pia lakini jiulize
Kama naye neymar angeanzia la masia ya barca kama messi unahisi mpaka sasa angekua hana ballon d'or??
Na yeye ahesabieNa
lile la utotoni au
Ssi ndo kama magoli ya pele tu
Anahesabia na aliofunga alivokua anacheza utotoni
Kwahiyo mwili wote wa ronaldo unashindana na mguu wa kushito wa messi [emoji2][emoji2][emoji23]Sasa mbichwa wa ronaldo una magoli mengi zaidi ya magoli ya atletico madrid ya uefa
Hilo dole gumba haliwezi fit
Msifananishe complete player na makitu ya ajabu
Siku hyo kwahyo mkihitaji magoli ya vichwa ndo ntolee?
Kwahiyo hiyo Fiji ipo South America?Sasa wewe mkuu
Unacheza na ecuador na fiji
Sijui wwakina peru wakina honolulu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kweli usipewe uchezaji bora?
Unaongea kitu ambacho hakina msingi, Ronaldo ameenda Man U amekuta timu bora , ndio timu ya kwanza kumpa mataji,Kaangalie takwimu upya mzee
Nimesema magoli mengi ndani ya muda mfupi sijasema ndani ya msimu
Consistency mkubwa
And by the way japo wengi mnakataa hii theory lakini cr7 hakupata wasaa wa kuanza na kikosi bora duniani kama ilivo kwa messi
Katoka sporting kwanza ndo akaja man u tofauti na kijana wa la masia aliewakuta wakina villa iniesta na xavi barca
Najua utapinga pia lakini jiulize
Kama naye neymar angeanzia la masia ya barca kama messi unahisi mpaka sasa angekua hana ballon d'or??
Sasa wewe mkuu
Unacheza na ecuador na fiji
Sijui wwakina peru wakina honolulu😂😂😂
Hivi kweli usipewe uchezaji bora?
Kweli mkuu na wewe kbs unapoteza mda wako bishana na mashabik wa cr7 ..ambao wamekosa muelekeo hawajui hata wanasema nn..we waache wabishane wanavowezaHizo club za hizo ligi nyingine hajawahi kukutana nazo?
Hivi Ronaldo anachezaga mwenyewe uwanjani?.Messi bila barcelona ya Xavi na Iniesta ni Di maria aliechangamka.
Halafu anashindwa kuelewa kuwa anaehama timu anakuwa na advantage zaidi kwasababu anaikimbia timu inapofika mahali pabaya. Messi amechezea Barcelona za aina tofauti tofauti na bado ameendelea kuwa bora.Popote kambi ?
Man u
Real Madrid
Juventus
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team Ronaldo mna tabu Sana
Mpaka Sasa Messi ndo mchezesha timu wa Barcelona bila Messi huwezi kuona hiyo total football Kama huamini angalia takwimu za Messi kila msimu unapoisha pale Barcelona
Unaangaliaga world cup hipi ndgu?.Hizo timu za South za America tukifika world cup wote huwa wanaishia kwenye makundi, hawana chochote cha maana
Hayo mashindano umeyafuatilia lakini?.Naona Mnamzungumzia Messi Wakati DiMaria ndo Kaipa Ubingwa Argentina.
Kuliko wewe..Game Zote Nazifatilia..Achilia mbali za Argentina na Brazil.Hayo mashindano umeyafuatilia lakini?.
Ile ambayo Argentina anafika fainali kwa ndondokelaUnaangaliaga world cup hipi ndgu?.