Mashabiki wa simba Acheni Wivu mpira ni Point 3

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kila siku hawaishiwi maneno mala ushindi wanaoupata yanga kwa sasa ni upepo tu umewatembelea,mara ooh Timu mbovu haina kitu,

Lakini kitu kimoja wanashindwa kukijua ni kwamba yanga Haina pesa lakini inacheza kitimu ikiongozwa na kocha wao mwinyi Zahera anaetafuta Kuingarisha CV yake kupitia klabu ya Yanga hivyo kwake pesa haina Dhamani sana kama walivyo makocha wengi wa bongo yeye anachotazama zaidi ni kesho yake atakuwa wapi?

Ni kweli Yanga haina pesa, Yanga haina wachezaji wazuri kama wa watani Simba lakini wana Top Score wa ligi MAKAMBO(11) pia wana Top Assist wa ligi AJIBU(13) Vpl.,

Mpaka sasa point ni 50 bado mechi moja tu kuumaliza mzunguko wa kwanza kwa timu ya yanga huku watani wakibakiwa na viporo vya kutosha visivyo na Faida kwao ata wakishinda vyote,

Nyie endeleeni kuiombea mabaya Yanga uku mkishindwa kujiombea mema mwisho wa siku yanga anatangazwa kuwa bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe hadi kwenye soka upo mkuu?.Nimekariri kuwa wewe ni mtu wa Ngono tu kutokana na post zako za mapenzi.Ama hakika ulizanialo kumbe sio!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu mwenyewe zero IQ....hawana jipya hawa mikia wanatapatapa tu
 
Nakuuñga mkono 100%

Mkuu hao unaowaambia ni mambumbumbu hata mwenyekiti wao mstaafu aliwaita hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…