Mashabiki wa Simba Dar ni watu wa hovyo sana

Mashabiki wa Simba Dar ni watu wa hovyo sana

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Dar imeathirika na uchawa.Kila mtu chawa.Hata mashabiki wa Simba wa Dar wengi ni machawa wa viongozi wa Simba.

Hawa ndio waliotuchagulia hawa viongozi.

Hawa leo wanalalamika nini eti hakuna aliyewalipia viingilio lakini Simba inafanya vibaya.

Hivi kwa akili zenu wakati mnaingia uwanjani,mlitarajia Bocco afunge?Au Simba ishinde?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Nilitamani wachapwe viboko, hivi matola na yule kocha wa makipa ndio makocha wa kukaa benchi mechi kama.hii. hawajui kupanga list Wala kufanya sub.
 
[emoji16][emoji112] mashabiki wa hovyo tena?
ile tuzo yao ya mashabiki nna mashaka nayo
Zingatia mashabiki wa Dar.
Hiyo Mkapa huwa tunaijaza sisi watu wa mikoani.
Hao waliofunguliwa mbwa wakaenda leo wanakuja kwenye mitandao kulalamika eti wachezaji hawajitumi.
Tatizo ni uongozi baadae wanafuata wachezaji.
Hapo waondoke viongozi kwanza,halafu uje uongozi mpya usafishe uchafu.Bakiza wachezaji wasiozidi wanne kikosi cha kwanza wengine wote wape thankyou waende wanakodhani kunafaa kuliko Simba

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Zingatia mashabiki wa Dar.
Hiyo Mkapa huwa tunaijaza sisi watu wa mikoani.
Hao waliofunguliwa mbwa wakaenda leo wanakuja kwenye mitandao kulalamika eti wachezaji hawajitumi.
Tatizo ni uongozi baadae wanafuata wachezaji.
Hapo waondoke viongozi kwanza,halafu uje uongozi mpya usafishe uchafu.Bakiza wachezaji wasiozidi wanne kikosi cha kwanza wengine wote wape thankyou waende wanakodhani kunafaa kuliko Simba

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hao sio vibarua kwamba utawatimua kiholela , hapo inatakiwa pesa ya kuvunja mikataba na kusajiri wengine unaongelea almost 6B
 
Back
Top Bottom