Mashabiki wa Simba hapo mimi ndio napochoka sijui wakoje, ndio maana mimi acha nishabikie Boma fc

Povu ruksa, ila lisizidi maji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mikia fc...........Mbumbumbu fc........FIFA fc......Rambirambi fc...............Maandamano fc
 
Kumbe sasahivi Yanga mmeamua kujiita Boma FC, ni jina mzuri lakini hii baada ya jina la Yanga yetu, kuto kuvuma.
 
Kumbe sasahivi Yanga mmeamua kujiita Boma FC, ni jina mzuri lakini hii baada ya jina la Yanga yetu, kuto kuvuma.
 
huyo okwi mlijaribu kumchukua akawachemsha. hivi ulishapita klabuni kwenu ukaangalie bwawa la samaki na ule uwanja wa kigamboni mliopewa mmeishia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…