Mashabiki wa Simba hapo mimi ndio napochoka sijui wakoje, ndio maana mimi acha nishabikie Boma fc

Kuna ukweli fulani hapa
Sijui unajaribu kusema lililona mantiki au mradi umeandika kwa maana hiyo Ajib ni mfungaji bora ,na Okwi anatisha kwani anaweza kufanya tena yale yale . Unajaribu kuonyesha kuwa wenzio wamepotea hii ni kwa manufaa ya NYANGA AFIRIKA au THIMBA SIPORTI KILABU jenga hoja nyingine
 
Ajibu hajawa lulu ya kwenda na kurudi km huyo okwi mkuu
 
Tufollow Instagram kama kandanda24 kupata updates za soka bongo na barani ulaya Tafadhali sana ndugu zangu nahitaji sapoti yenu
 
Mimi kama Mfadhili wa simba , andiko hili limenidhalilisha sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…