Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia dhidi ya Vipers siku ya Jumanne

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kumekua na mashabiki maandazi wakijiaminisha kuwa watamfunga vipers, hii gemu bado ni ngumu sana Kama mnavyodhani nyinyi.

Nimefuatilia gemu iliyopita vipers vs simba kiufupi wachezaji wa simba mbinu zao zimefika mwisho hawana mbinu tena.

Kuanzia kwa viungo wa Kati mpaka mawinga wa pande zote kushoto na kulia hawana ubunifu tuseme tu kuwa simba bahati ilikuwa kwao na ndyo maana wakapata goli moja la ndondokela.

Hii gemu bado ni mbichi sana, vipers watakuja kulipa kisasi Cha goli mbili kwa mkapa na kuacha msiba mzito pale msimbazi hasa kwa mashabiki wanaotembea na majibu mfukoni nakusahau kuwa wanakikosi dhaifu.

Nawasihi mashabiki lialia jiandaeni kisaikolojia kwani hamtoamini kile kitakacho wakuta pale kwa mkapa.
 
Tatizo la kubwia ugoro mkiwa bado wachanga. Athari hasi zimeanza kujionesha .
 
Tunza chaji na bando lako,unaandika kinyesi tu
 
Ukiona inauma chomoa
Kumekua na mashabiki maandazi wakijiaminisha kuwa watamfunga vipers, hii gemu bado ni ngumu sana Kama mnavyodhani nyinyi.

Nimefuatilia gemu iliyopita vipers vs simba kiufupi wachezaji wa simba mbinu zao zimefika mwisho hawana mbinu tena.

Kuanzia kwa viungo wa Kati mpaka mawinga wa pande zote kushoto na kulia hawana ubunifu tuseme tu kuwa simba bahati ilikuwa kwao na ndyo maana wakapata goli moja la ndondokela.

Hii gemu bado ni mbichi sana, vipers watakuja kulipa kisasi Cha goli mbili kwa mkapa na kuacha msiba mzito pale msimbazi hasa kwa mashabiki wanaotembea na majibu mfukoni nakusahau kuwa wanakikosi dhaifu.

Nawasihi mashabiki lialia jiandaeni kisaikolojia kwani hamtoamini kile kitakacho wakuta pale kwa mkapa.
 
Nachowaza ni wale Horoya wasimfunge mwarabu pale Guinea, sio kelele nyingine.
 
Vipers kuanzia beki mpaka katikati wako vizuri shida waliyonayo ni pale kwenye safu ya ushambuliaji ni majanga matupu, kama uwezi kufunga basi ukitanguliwa tu kwisha habari yako, ndicho kilichotokea uganda ufanisi wao kwenye eneo la mwisho uliwaangusha lakini walikuwa na uwezo wa kubakiza point zote 3 kama wangekuwa vizuri pale mbele kwa maana kuna mianya mingi sana walishindwa kutumia nafasi
 
Hawapo vizuri popote pale, nitimu ya kawaida.
Inayocheza helicopter football
 
Kumekua na mashabiki maandazi wakijiaminisha kuwa watamfunga vipers, hii gemu bado ni ngumu sana Kama mnavyodhani nyinyi.

Nimefuatilia gemu iliyopita vipers vs simba kiufupi wachezaji wa simba mbinu zao zimefika mwisho hawana mbinu tena.

Kuanzia kwa viungo wa Kati mpaka mawinga wa pande zote kushoto na kulia hawana ubunifu tuseme tu kuwa simba bahati ilikuwa kwao na ndyo maana wakapata goli moja la ndondokela.

Hii gemu bado ni mbichi sana, vipers watakuja kulipa kisasi Cha goli mbili kwa mkapa na kuacha msiba mzito pale msimbazi hasa kwa mashabiki wanaotembea na majibu mfukoni nakusahau kuwa wanakikosi dhaifu.

Nawasihi mashabiki lialia jiandaeni kisaikolojia kwani hamtoamini kile kitakacho wakuta pale kwa mkapa.
KWANINI msisubiri tu dk 90?

Yani I kuharisha bila sababu?
 
Upuuzi mtupu. Inakusaidia nini kupiga ramuli za kipuuzi kama hii. Lengo ni nini, uonekane unajua saaaaana au? Upuuzi tu huu.
 
TATIZO wachezaji wa Mwamedi ni WA BUKU BUKU.

Yani ni Bilionea/ Muwekezaji BAHILI sana kuwahi KUTOKEA DUNIANI.

HATUNA IMANI WALA AMANI NA TIMU YETU.
 
Back
Top Bottom