Mashabiki wa Simba Kaduguda amepiga msumari wa moto kuwa tu mbumbumbu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hilo tusi linapunguza nguvu ya mashabiki wa Simba wenye akili zao na kubakiza hao hao mnaowahonga pesa ili wachague viongozi wajinga wajinga.

Watu wengi wa maana watajitoa kushabikia timu hii kwa kuwa jina mbumbumbu linadhalilisha sana.
 
Tuseme Luc Eymael alivyosema Mashabiki wa Yanga ni manyani mnabweka kama mbwa ni kweli nyie ni manyani?

Au , Haj Manara alivyosema Yanga wenye akili ni wawili tu yaani Mzee sande manara na Kikwete ni kweli kwamba Yanga wote hawana akili?

Hayo ni mawazo yake na mitazamo yake , hivyo siyo lazima na wewe uyachukue jinsi yalivyo na kuyaleta humu jf
 
Unahisi mleta uzi ni Yanga? Pitia upya mawazo yako
 
Hilo tusi linapunguza nguvu ya mashabiki wa Simba wenye akili zao na kubakiza hao hao mnaowahonga pesa ili wachague viongozi wajinga wajinga.

Watu wengi wa maana watajitoa kushabikia timu hii kwa kuwa jina mbumbumbu linadhalilisha sana.
Dah! Mkuu sikukupata vizuri mwanzoni , samahani.
 
Kama mwekezaji dewji alikua anasisitiza wajumbe wa upande wake wajiuzulu-wamejiuzuli ghafla tena anawarudisha ndo maana kuna wengine wamemgomea wameona ni ujinga

Kwa alichofanya dewji ni ishara simba inaongozwa kiujanja na amewadharau na ataendelea kuwaona mashabiki wa simba ni wajinga
 
Mashabiki wamehusikaje, hukumsikia naibu waziri wa michezo akiongelea tatizo la Simba na kusema viongozi na wanachama eatatuentatizo vinginevyo serikali itaingilia.
Kaduguda njaa zimemzidi baada ya kutoka madarakani hapo anatafuta gia ya kurudi.
 
Mangungu aligombea uenyekiti Mara ya kwanza na Juma Nkamia ambaye Kama Mangungu alikuwa mbunge aliyeshindwa na pia aliwahi kuwa kiongozi wa Simba .
Kilichomfanya Mangungu amshinde ni kauli ya matusi alitowahi kutoa Juma Nkamia kwa wanachama wa Simba .kinachomsumbua Kaduguda ni njaa zake baada ya kutoka kwenye uongozi

Kama ni mbumbumbu ni yeye maana kwanza alidanganya mo. Keshatoa bilioni 20 akijua su kweli lakini Sasa ameumbuka.
 
Kama mwekezaji dewji alikua anasisitiza wajumbe wa upande wake wajiuzulu-wamejiuzuli ghafla tena anawarudisha ndo maana kuna wengine wamemgomea wameona ni ujinga

Kwa alichofanya dewji ni ishara simba inaongozwa kiujanja na amewadharau na ataendelea kuwaona mashabiki wa simba ni wajinga
+ MBUMBUMBU
 
Hilo tusi linapunguza nguvu ya mashabiki wa Simba wenye akili zao na kubakiza hao hao mnaowahonga pesa ili wachague viongozi wajinga wajinga.

Watu wengi wa maana watajitoa kushabikia timu hii kwa kuwa jina mbumbumbu linadhalilisha sana.
Lakini linasababisha,(Lita), mfikirie nje ya sanduku haiwezekani watu wachache wawanyime furaha yaani akili zilezile zilizo tengeneza tatizo Kwa akili zilezile zitatue changamoto, (tatizo),?, Halafu kiukweli nyie ni mbumbumbu watu wanaendesha club kama familia zao?, Mko kimyaa! mna ahirisha kufikiri kweli hapa lazima tuwakomaze akili Kwa kuwaita mbumbumbu
 
Back
Top Bottom