Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mtu aliyetangaza uasi hakuna kuchekewa. Ukicheka na Braza K utavuna machafuko.Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?
Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Uwe unatumia akili, mahakama inatosha watu 50 tu,nyie mnaenda elfu tano,uwanja wa ndege pako waziUle umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?
Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Sa100 ni mpbvUle umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?
Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Hapa ndio tatizo la vijana lissu anao wategemea wanamuangusha hata kwa hoja.....Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?
Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Uwanja wa ndege ni mahakamani? Mahakamani kuna wahalifu wenye kesiUle umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?
Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Inapofika time ya kutoa hilo jasho na damu kila kamanda kapaka make up na kujipodoa hataki kutoka jasho wala damu...Utaumiza kichwa bure
Na kujipa stress bure
Sote tunajua hakuna haki.
Na haki haiombwi inapiganiwa kwa jasho na damu.
Simba hawajatoa kauli yeyote ya kukinukisha, Chadema wana njama ya kukinukisha. Hiyo ndio tofauti mtanzania mwenzangu.Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha?
Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
Hebu weka hiyo kauli hapa halafu tuione. Wanataka kukinukishaje?Simba hawajatoa kauli yeyote ya kukinukisha, Chadema wana njama ya kukinukisha.
Kwa ivo CHADEMA kuzuia uchaguzi wangezuia kwenye kesi ya Lissu?kwani mashabiki wa simba wamepanga kuzuia uchaguzi?
Uwanja wa ndege ni mahakamani? Mahakamani kuna wahalifu...
Siyo kila mtu hana time na hiyo kesi wapo ambao wana time na hiyo kesi. Sasa wanaotaka kwenda mahakamani haki yao inaondolewa kwa kuwa wengine hawana muda wa kusikiliza hiyo kesi?Watu hawana time na kesi zenu nyie wekeni mawakili,
Hivi wewe unajua maana ya uasi kisheria?Mtu aliyetangaza uasi hakuna kuchekewa. Ukicheka na Braza K utavuna machafuko.