Mashabiki wa Simba mnaonaje Sakho auzwe?

Sakho ni Icon ya Club kwa sasa kama ilivyo kwa Mo salah pale Liverpool, Benzema pale Madrid, Mbappe pale PSG.. kwahiyo viongozi wawe makini sana unapouza icon ya club.

Icon ya club inasaidia pia kuleta hamasa kwa mashabiki sababu kwa sasa Sakho ndiyo kipenzi cha wana simba kama ilivyokuwa chama msimu ule.
 

Team itakua ya hovyo kumsajili mchezaji Kwa ajili ya goli bora tena moja Na goli lilefungwa Kwa bahati tuu
 
Nachoona Okra atakuja kuwa kinara wa timu
 
Team itakua ya hovyo kumsajili mchezaji Kwa ajili ya goli bora tena moja Na goli lilefungwa Kwa bahati tuu
Mi namwona wa kawaida ,ila club inayomtaka wapigwe tu hela,maana naona Sakho kwa ligi yetu wa kawaida tu
 
Sakho sijawahi kuona uchezaji wake honestly
 
Auzwe haraka kabla ajapata pancha kwanza keshaonyesha ni mtu wa majeraha mara kwa mara alafu anapenda kucheza na jukwaa pasipo na sababu.
Jukwaa lenyewe hawezi kucheza nalo
 
Unaonajee ushindi akasajiliwa pale msimbaz
 
Konde boy karudi tusubiri makeke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…