Daniel Mwinula
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 302
- 328
Mpaka sasa ni kama hamueleweki nani hasa mnamuangushia jumba bovu au mnamtoa kafara kuhusiana na matokeo mabovu ya timu yenu.
Ni kama hamuelewi nani hasa anahusika na matokeo mabovu ya timu. Wapo wanaosema Robertinho, wengine wanasema Mgunda, wengine Mangungu, wengine wanasema Mo Dewji, wengine wanasema Boko, wengine wanasema Sawadogo, wengine wanasema Manula, wengine Sakho etc.
Kwa style hii hamtajua shida ipo wapi kwa sababu nyuzi za humu ndani, zinataja watu wengi sana kwamba ni tatizo kwa matokeo mabovu ya timu.