Mashabiki wa Simba muwe na msimamo

Daniel Mwinula

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
302
Reaction score
328
Mpaka sasa ni kama hamueleweki nani hasa mnamuangushia jumba bovu au mnamtoa kafara kuhusiana na matokeo mabovu ya timu yenu.

Ni kama hamuelewi nani hasa anahusika na matokeo mabovu ya timu. Wapo wanaosema Robertinho, wengine wanasema Mgunda, wengine Mangungu, wengine wanasema Mo Dewji, wengine wanasema Boko, wengine wanasema Sawadogo, wengine wanasema Manula, wengine Sakho etc.

Kwa style hii hamtajua shida ipo wapi kwa sababu nyuzi za humu ndani, zinataja watu wengi sana kwamba ni tatizo kwa matokeo mabovu ya timu.
 
Mtoto wangu akija kuishabikia Yanga au Man u .Namlaaani.
 
MWAMEDI ONDOKA AU SAJILI WACHEZAJI WA MAANA.

SIO KUTULETEA AKINA DEJAN.

Wachezaji wa kigeni Mizigo.

Mohamed Ottara.

Peter Banda.

Ismail Sawadogo.

Joash Onyango

Augustine OCCRA

Sadio Kanute.

Baleke na Phili wananipa wasiswasi sana
 
Mimi nasema tatizo ni usajili wa hovyo (kutokana na ubahili na scouting ya hovyo, yaani kwenye scouting tunazidiwa hadi na Singida Big Stars). Robertinho na Mgunda wasilaumiwe, kwa wachezaji waliopo Simba kwa sasa hata kama Guardiola ndoa angekuwa kocha wa Simba bado tungesema aondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…