Team imeenda pre season SA
-tulisifia sana,
Team imecheza mech huko SA
-tulisifia sana kwa yale matokeo
Team ilirud bongo kwny simba day
-tulisifia sana siku ile wachezaji
Wote walikua bora
Team imecheza Ngao ya jamii
- tuliwasifu sana wachezaj na
Tukasema ama hakika pengo la
Okwi na kina kotei halionekan,
Team ikaanza ikacheza na hawa
Wachomoa Betri UD kwao
-tukasifia pia kwa kua ni ugenini
Mech tutamaliza Taifa.
Matokeo ya Metch ya jana sasa
Tumewageuka wachezaji na
Bench la ufund ,mashabik
Mioyo Yao haioni tena ubora wa
Team kwa droo ya 1-1 ya jana
Hawa oni tena jinsi ya wajezaji
Walivyo jituma wamepambana
Kupata matokeo kila namna lakn
Wap mda haukuwa rafiki,,,
Naamin wachezaji wameumia
Zaid yetu.
Nilikuepo uwanjani niliona Bench
La ufund lilichanganyikiwa
Hawakuwa wakisoma mchezo
Tena waliongozwa na hisia tu
Kocha mkuu pekee ndio niliona
Kajituliza anasoma mchezo ilikuwa
Tufe kwa kufungwa ni lishangaa
Akimtoa yule Shiboub na kumwingiza
Yule dogo kumbe ilikuwa sahihi
Dogo aliingia na kupata ile penat
Dakika ya 86.
Matokeo ndio yalivyo mashabik wenzangu
Team nzur huwa zinafungwa pia
Nakumbuka Liver inapindua matokeo
Kwa Baca ..tuache kuwa na roho
Za kugeuka geuka mafanikio hayaj
Kwa mda mfupi tu tuelewe lazima
Kujaribu hata mara nyingi tu.
-tulisifia sana,
Team imecheza mech huko SA
-tulisifia sana kwa yale matokeo
Team ilirud bongo kwny simba day
-tulisifia sana siku ile wachezaji
Wote walikua bora
Team imecheza Ngao ya jamii
- tuliwasifu sana wachezaj na
Tukasema ama hakika pengo la
Okwi na kina kotei halionekan,
Team ikaanza ikacheza na hawa
Wachomoa Betri UD kwao
-tukasifia pia kwa kua ni ugenini
Mech tutamaliza Taifa.
Matokeo ya Metch ya jana sasa
Tumewageuka wachezaji na
Bench la ufund ,mashabik
Mioyo Yao haioni tena ubora wa
Team kwa droo ya 1-1 ya jana
Hawa oni tena jinsi ya wajezaji
Walivyo jituma wamepambana
Kupata matokeo kila namna lakn
Wap mda haukuwa rafiki,,,
Naamin wachezaji wameumia
Zaid yetu.
Nilikuepo uwanjani niliona Bench
La ufund lilichanganyikiwa
Hawakuwa wakisoma mchezo
Tena waliongozwa na hisia tu
Kocha mkuu pekee ndio niliona
Kajituliza anasoma mchezo ilikuwa
Tufe kwa kufungwa ni lishangaa
Akimtoa yule Shiboub na kumwingiza
Yule dogo kumbe ilikuwa sahihi
Dogo aliingia na kupata ile penat
Dakika ya 86.
Matokeo ndio yalivyo mashabik wenzangu
Team nzur huwa zinafungwa pia
Nakumbuka Liver inapindua matokeo
Kwa Baca ..tuache kuwa na roho
Za kugeuka geuka mafanikio hayaj
Kwa mda mfupi tu tuelewe lazima
Kujaribu hata mara nyingi tu.