Mashabiki wa simba ni wakomavu ,wameonesha mfano huko twitter kwa kumpigia kura Mudathir Yahya kumwezesha kushinda mchuano wa goli bora

Ok ok,ngoja tuzame tupige kura kwa kiungo wa soka,namkubali sana huyu mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…