Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli
ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika.
Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni mpya kwahiyo kipo katika matengenezo ya kuboresha kikosi chao na kuwa bora zaidi. Lakini pia Al Ahly Tripoli wana wachezaji ambao wanaCV kubwa sana kuliko Simba na waliojaa uzoefu mkubwa katika michuano hii.
Kwahiyo kikubwa Simba wacheze kwa tahadhari sana kwenye mechi zao zote yani ya nyumbani na ugenini. Nafahamu pia mpira wa miguu unamatokeo yake lakini kwa hapa Simba waonyeshe walicho nacho kama ikitokea kufuzu hatua inafuata basi ni jambo zuri kwao na litawapa nguvu zaidi na kufanya vyema.
Soma Pia:
Mechi itakuwa Jumapili 15 Septemba, 2024 Simba SC vs Al Ahly Tripoli. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku