NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nikiwa Kama shabiki mwandamizi wa Yanga sc ndani ya Jamii forum, naomba nichukue fursa/nafasi hii adhimu kuwa karibisha mashabiki wa Simba sc kuja kushuhudia yanga ikikata tiketi yake mapema yakutinga fainali.
Ball/mbungi itapigwa saa 10 jioni uwanja wa mkapa.
Hili ni suala la nchi/kitaifa na East Africa njoo Mwanasimba/mtani upoze moyo ukiwa Kama shabiki mzalendo ushangilie kwa mahaba makubwa ili taifa lako liingie fainali kimataifa.
Nawaomba wachambuzi wa mchongo (wachambuzi) mliokuwa mnalipwa ili kukikejeri yanga kimataifa, huu ni muda wenu Sasa kujisafisha kwa kutoa hamasa kwenye page zenu mashabiki wajae uwanjani maana hata mkiendelea kuiponda yanga bado itapita tu kwenda nusu, ewe mchambuzi wa mchongo ona aibu tubu Sasa maana "Yanga is unstoppable".
Karibuni sana (wana Simba) mje kupata burudani ya Football msuuze mioyo yenu baada ya maumivu makali yaliyotawala na kiu kikubwa mithiri ya msafiri aliyeishiwa maji ndani ya jangwa.