Mashabiki wa Simba SC Ubaya ubwela unaufanya ukiwa wap?

Mashabiki wa Simba SC Ubaya ubwela unaufanya ukiwa wap?

Mycojkhan

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2024
Posts
803
Reaction score
1,498
Snapinsta.app_453997587_852487433429631_423312068020204195_n_1080.jpg
Wanasimba hongereni kwa Tamasha zuri mmeujaza uwanja wa Mkapa yani ni full House najua Mnafuraha sanaa Kwa kuiona Timu yenu ikipata matokeo kwenye siku ya “simba dei”.

Ubaya ubwela unaufanya ukiwa wapi?
Soma pia: FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024
 
Timu ikiaanza tu kufanya vibaya, watauhamishia huo ubaya ubwela wao kwa baadhi ya wachezaji wao, benchi la ufundi na Mwenyekiti Mangungu.

Na kama mimi ni muongo, basi subirini muone.
 
Back
Top Bottom