Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Mambo ya ajabu sana kwa mpira wa kitanzania haswa kwa timu za Kariakoo ila naona Yanga wamejitoa kua wasanii na kua na viongozi wapumbavu.
Timu ya SIMBA, mchezaji anapewa mkataba, pesa na kila kitu alichoomba, badala ya kuripoti kambini mchezaji anaonesha utovu wa nidhamu kwa kutokuja mahala pa kazi tena bila sababu za msingi, mchezaji anapigiwa simu hapokei, pre season yote huonekani, hata yawezekana Kocha hakujui, mana kocha anategemea uwepo na wenzako ili mtengeneze muunganiko, lakini haupo,
Sasa mambo yamekuendea kombo huko ulikokua, unarudi, na zaidi viongozo walivyo majuha wanakupokea na unakuepo kama vile hakuna kilichotokea, hii ni DHARAU kubwa sana, kwamba kuna mchezaji yuko juu ya timu na juu ya viongozi, juu ya wanachama na juu ya mashabiki WANAOJIELEWA,
Nasema mashabiki wanaojielewa sababu wengi wao wamekwazika sana na kilichotokea ama kinachoendelea na wengi wameona hakuna haja ya kwenda uwanjani sababu kuna mchezaji amewadharau na kuwakosea adabu na bado wanalipia tiketi kuona ubovu wa viongozi wa simba kuruhusu mchezaji kua na utovu wa nidhamu na kua juu ya vichwa vyao. Je hii italeta inpact gani au itaonesha taswira gani kwa mashabiki wa mpira wanaojielewa na wachezaji
Mashabiki hoyahoya ndio hawa unawaona mara "ooh kibu mkandaji karejea", mara karibu kibudenga" na official page za timu ya simba zikimkaribisha kwa BASHASHA.
Mara leo tena tunasikia Onana kauzwa, sasa unajiuliza kulikua na haja gani ya kumuita mchezaji Misri na mapicha kibao ilihali nyuma ya pazia mnakbaliana na timu nyingine kumuuza mchezaji tena hata bila yeye kuwepo, ama kweli nakubaliana na baadhi ya wadau wanaosema mashabiki wanapumbazwa sana na asilimia kubwa ndio mashabiki hoyahoya. Mara mchezaji yuko Ubelgiji, ila kwenye page ya timu utambulisho wake bado upo, usanii juu ya usanii