Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa.
Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda hii yanga ni lazima iwe dhaifu na magoma alikua anaitimiza hii adhma ila ameangukia pua.
Soma Pia: Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70
Ni wakati wa mashabiki wote wa simba kumchangia Magoma akate rufaa ili aendelee kupambana na hatimaye kutimiza lengo lake la kuifanya Yanga kuwa dhaifu.