Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mashabiki wa simba wanasupport harakati zake na mashabiki wa simba na magoma wana-lengo moja Yanga kuwa dhaifuKumuhusisha mzee Magoma na Simba ni kukwepa wajibu wa kuzitazama hoja zake. Nina imani mzee Magoma na wenzake walichukua hatua zile kama wapenzi wa Yanga, na wala hajaanza leo
HAMNAZO!Mashabiki wa simba wanasupport harakati zake na mashabiki wa simba na magoma wana-lengo moja Yanga kuwa dhaifu
Mchango wako kwa mzee magoma ili alipe million 70 ni muhimu sanaKichwa Cha habari na habari yenyewe tofauti halafu mkiambiwa huko wenye akili ni wawili mnabisha
Makolo mganga wao sjui Ali pararaizi au wanakosea mashartii ya dawa🤣🤣🤣💔Maaskini MAKOLO