Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa majira ya saa kumi jioni.
Takwimu za Uuzaji wa Tiketi Mechi ya Simba vs CS Sfaxien
Licha ya tiketi kuuzwa bei hadi TSh. 3000, mashabiki wengi bado hawajajitokeza kununua tiketi kwa wingi, hali inayozua wasiwasi kuhusu sapoti ya timu hiyo katika mechi muhimu ya kimataifa.