Mashabiki wa Simba waitosa klabu yao mechi ya CS Sfaxien. Mwitikio mdogo wa ununuzi wa tiketi licha ya kuwa TSh. 3000

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa majira ya saa kumi jioni.

Takwimu za Uuzaji wa Tiketi Mechi ya Simba vs CS Sfaxien

Licha ya tiketi kuuzwa bei hadi TSh. 3000, mashabiki wengi bado hawajajitokeza kununua tiketi kwa wingi, hali inayozua wasiwasi kuhusu sapoti ya timu hiyo katika mechi muhimu ya kimataifa.
 
Mashindano madogo ya Shirikisho, hayana mvuto
Mechi ni Leo
Kesho nazima Tv, naenda kunywa bia
 
Heri Yao,subiri zamu yetu ifike utashuhudia vituko kutokana na jinsi hatufanyi vizuri.
 
Kuitosa kivipi..au hao waliokata tiketi ni vyura?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…