busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Simba uwa inacheza mpira mwingi wa pasi nyingi na ufundi wa hali ya juu.
Hata ikitokea timu ikafungwa basi mashabiki huwa wanaridhika na kuona bahati haikua kwao kwa jinsi kiwango kizuri kilichoinyeshwa na timu.
Mpira aliopigiwa Kaizer Chiefs mwaka jana Simba ilipata ushindi na kutolewa lakini mashabiki walikua na matumaini makubwa kwa timu kwa soka zuri lilochezwa.
Leo hii Simba imecheza na Red Arows ya Zambia na kufuzu hatua ya makundi lakini bado mashabiki awana imani na timu yao kwa soka bovu,mashabiki wa Simba wamezoea mpira wa chini pasi nyingi na ufundi mwingi.
Hongera kwa Simba kufuzu hatua ya makundi shirikisho CAF.