Mashabiki wa Simba wanatumia Akili saana kueneza propaganda Zao siku hizi baada ya kuona mwaka huu kombe hawana wameanza propaganda kumtowa mayele kwenye reli Mara sio mshambuliaji
Mara ni wa kawaida saana
Mara hawezi kutufunga sisi
Wamesau FA
Mara anafunga timu mbovu
Mara league ni dhaifu
Mara mayele hawezi kucheza klabu bingwa Africa yaani ni mengi Kweli
Na yote Haya wanafanya ili wa mtowe mayele kwenye reli kama walivyo mtowa Molinga
Na ipo siku kwa style hii Yao Kuna baadhi ya mashabiki wa Simba watavaa jezi za yanga wanakwenda Mpirani ili kumzomea mayele huu ndo ukweli