technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha...
Thiiiis is PAKAAAAAA....Hii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha
Kesho tunaamkaje wazee hii gemu tushapigwa 4-0 duh.
Poleni rudini ulingoni tupambane mtujibu nani upololo kati ya Simba na Yanga
Yanga pamoja na ubovu wake asingeweza kufungwa goli zote hizi.
Ni kama wale waliokuwa wanamdemkia Samia jana ila leo wakatapika mapialu yoteHii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha
Kesho tunaamkaje wazee hii gemu tushapigwa 4-0 duh.
Poleni rudini ulingoni tupambane mtujibu nani upololo kati ya Simba na Yanga
Yanga pamoja na ubovu wake asingeweza kufungwa goli zote hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha
Kesho tunaamkaje wazee hii gemu tushapigwa 4-0 duh.
Poleni rudini ulingoni tupambane mtujibu nani upololo kati ya Simba na Yanga
Yanga pamoja na ubovu wake asingeweza kufungwa goli zote hizi.
[emoji23][emoji23] hawaamini majichoView attachment 1786264
Umefurahiii[emoji849][emoji849]
Umefurahiii[emoji849][emoji849]