Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya kirafiki siku hiyo ya kilele Agosti 17, 2024.
Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives Foundation na litafunguliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi.
Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives Foundation na litafunguliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi.