real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Aliyekua mchezaji wa zamani wa Manchester United, kisha akawa mchambuzi wa michezo ambaye sasa ni kocha wa klabu ya Valencia ya Hispania anazidi kuthibitishiwa kuwa kukosoa ni kazi rahisi mno na inayoweza kafanywa karibia na mtu yeyote yule baada ya kufikisha mechi sita kwenye ligi ya Hispania bila ushindi wowote na jana 03/02/2016 kupigwa goli 7-0 na Barcelona uwanjani Nou Camp.
Gary Neville ambaye anasifiwa kuwa mchambuzi mzuri wa michezo kwenye televisheni, timu yake ya Valencia sasa hivi ipo nafasi ya 12, na aliichukua ikiwa nafasi ya sita kutoka kwa kocha Mreno Nuno Gomez.