Mashabiki wa Taifa Stars Wazalendo wa kweli Mlioko Dodoma tukutane Tango Bar!

Mashabiki wa Taifa Stars Wazalendo wa kweli Mlioko Dodoma tukutane Tango Bar!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Baada ya jaribio la kubaka uzalendo halisi, kupitia Timu ya Taifa kushindikana jana naomba Wazelndo halisi tuliopo Dodoma tukutane Tango Bar leo ssaa 12 jioni tufanye Tambiko la utakaso!
 
Kukesha unaiombea Taifa Stars ushindi ni matumizi mabaya ya maombi.Mimi nilijaribu.Ghafula nikasikia sauti ikisema, USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO.”Alisikika mzalendo mmoja akisema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom