Baada ya jaribio la kubaka uzalendo halisi, kupitia Timu ya Taifa kushindikana jana naomba Wazelndo halisi tuliopo Dodoma tukutane Tango Bar leo ssaa 12 jioni tufanye Tambiko la utakaso!
Kukesha unaiombea Taifa Stars ushindi ni matumizi mabaya ya maombi.Mimi nilijaribu.Ghafula nikasikia sauti ikisema, USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO.”Alisikika mzalendo mmoja akisema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]