Mashabiki wa uganda wanasema watanzania tuache tabia za kusubiri mechi za mwisho ili kufudhu.

Mashabiki wa uganda wanasema watanzania tuache tabia za kusubiri mechi za mwisho ili kufudhu.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Walikuwa wakiojiwa na mtangazaji wa azam aliyepo uwanja wa taifa Timuzo Karugira. Wanasema mambo ya kusubiri mechi ya mwisho uku ukiomba timu fulani ifungwe wewe ushinde inakuwa sio,kama ni hesabu zipigwe mapema kama walivyofanya wao. Mwisho wanasema wanajuwa wao wameishafudhu ila wamesafiri kuja kuiunga mkono timu yao na awataki kusikia mambo ya tanzania ni marafiki zetu watatupiga kipigo cha mbwa koko.
 
Back
Top Bottom