Nimekuja kujifunza kuna hii tabia ya hawa kasongo wameizoea ya kuponda wachezaji wa Simba kupitia vi blog vyao vya soka.
Wao wanapoweka mitego yao unakuta baadhi ya mashabiki wa Simba wasiojitambua wamejaa kwenye mfumo nao wanaanza kulalamika.
Hizi ni propaganda za hovyo sana ambazo sisi tumeshazistukia na kwa hiyo tunazipuuza tu.
Elie Mpanzu anawahusu nini nyie utopolo nyuma mwiko?