Walisemwa hivyo hivyo akinaKwaiyo Mpanzu anakwenda kuchukua nafasi ya nani pale Yanga?
Mpaka Sasa Hakuna mchezaji yeyote pale Simba anaweza kuingia kwenye kikosi Cha kwanza Cha Yanga.
Kwa ivo kila mkongomani anacheza Ubeligiji!?Mpanzu na Yacouba Sogne lao ni moja. Ni suala la muda tu. Wewe uliona wapi Mcongoman anafeli majaribio Ubelgiji?
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sanaKwaiyo Mpanzu anakwenda kuchukua nafasi ya nani pale Yanga?
Mpaka Sasa Hakuna mchezaji yeyote pale Simba anaweza kuingia kwenye kikosi Cha kwanza Cha Yanga.
Kwa ivo kila mkongomani anacheza Ubeligiji!?
Kwa hiyo kimsingi ulitaka kuandika dondoo mbili tu.Hizo 1,4 na 5 ni kitu umekirudia kwa miandiko ya mkono wa kushoto na kwa kutumia mguu.Utopolo bin mwakikundi wewe!Nyie vilaza wa makolo kolo, mnapontaja Yanga muwe mnaitaja kwa adabu zote. Kwani
1. Yanga ndiyo timu iliyoifunga simba mara nyingi zaidi. ( Makolo ni vibonde)
2. Kumri, Yanga ni Mkubwa zaidi ya Simba ( muheshimu kaka yako)
3. Yanga Ina idadi kubwa ya Mataji kuliko
4. Katika historia hakuna timu iliyomuonea Simba mara nyingi zaidi kuliko Yanga. (Hapa furaha hakuna)
5.Yanga ndiyo mbabe wa Simba Leo, kesho na hata milele.
Nilikua nakazia tu ukweli unakuumaKwa hiyo kimsingi ulitaka kuandika dondoo mbili tu.Hizo 1,4 na 5 ni kitu umekirudia kwa miandiko ya mkono wa kushoto na kwa kutumia mguu.Utopolo bin mwakikundi wewe!
Mwakikundi oiyeeee!Nilikua nakazia tu ukweli unakuuma
Hapo ulitaka kusema nini kwani?
Sawa ni kweli walisema hivyo turudi kwenye uhakisia kati ya hao wote ni nani amewahi kua chagua la kwanza kwenye kikosi Cha kwanza Cha Gonga wazi. Kusema hawaingii kikosi Cha kwanza ni ishu nyingine na jusajiliwa pia ni ishu nyingineWalisemwa hivyo hivyo akina
Mkude
Chama
Baleke
Okra
Israeli Mwenda.
Ellie Mpanzu ndiyo yule mchezaji anayekimbia na mpira halafu anawapasia mashabiki na ball boys?Nimekuja kujifunza kuna hii tabia ya hawa kasongo wameizoea ya kuponda wachezaji wa Simba kupitia vi blog vyao vya soka.
Wao wanapoweka mitego yao unakuta baadhi ya mashabiki wa Simba wasiojitambua wamejaa kwenye mfumo nao wanaanza kulalamika.
Hizi ni propaganda za hovyo sana ambazo sisi tumeshazistukia na kwa hiyo tunazipuuza tu.
Elie Mpanzu anawahusu nini nyie utopolo nyuma mwiko?