Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

ila wapo Champions League, na timu dhaifu ya Vipers ilimuondoa kwenye Champions League na kumpeleka huko kwenye mashirikisho huyo TP Mazembe. Na Yanga pia aliondolewa na timu dhaifu ya Al Hilal na kupelekwa huko kwenye mashirikisho
Na Yanga pia inayomfunga Simba kila wakikuta kwa sasa..!!
 
ila wapo Champions League, na timu dhaifu ya Vipers ilimuondoa kwenye Champions League na kumpeleka huko kwenye mashirikisho huyo TP Mazembe. Na Yanga pia aliondolewa na timu dhaifu ya Al Hilal na kupelekwa huko kwenye mashirikisho
Umetumia kigezo kipi kuita Al Hilal ni dhaifu? Timu imefungwa away dhidi ya Mamelod goli moja pekee. Timu imemfinga Al Ahly na kufanya kuwa na point tatu unahitaje kibonde?
 
Haipo kwenye list ya Super Cup
 
Nipe hiyo list ya timu 24 ambazo zitashiriki super cup ni zipi ili nione kama kweli haipo
Nikitoa list yangu utasema nazipendelea timu fulani na kuziminya timu fulani. Chukua list iliyotolewa na CAF ujionee mwenyewe
 
Sitaki list yako nataka list official kutoka CAF, utoe list yako kwani wewe ni kiongozi wa shirikisho la soka Africa? Lete list ya CAF ambayo imeonesha Al Hilal hayupo kwenye timu 24 zitakazoshiriki Super league
 
Ndicho na mimi nilichosema, ni kama tu unaniunga mkono. Mimi sina list yangu, tafuta list ambayo ni official kutoka CAF ujiwekee, wala mimi sikuwekei
 
Iweke hiyo ya CAF, nachojua mimi CAF bado hawajatoa list ya timu zote 24 zitakazoshiriki Super league. Sasa wewe unayesema Al Hilal hawapo kwenye list nipe ushahidi wa list kutoka CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…