Mashabiki wa Yanga hawapigi tizi tena kunyanyua makombe, wanapiga tizi ili kwenda kuwatoa viongozi wao madarakani

Huyu ndio mzee wa utopolo mwenyewe aka Mr Utopolo de Original 😁
 
Wana Yanga tuwe makini na uchochezi,ufitini na kila aina ya magomvi yanayoletwa moja kwa moja au kupitia kwa hao tunaodhani washauri kumbe wanalo lao moyoni.Nia yangu ni kutuchanganya,kutugombanisha na kufanya kuloose focus ya malengo yetu wao wamekaa pembeni
 
Kwani malengo yetu ni yapi?
 
Yaani hapa ni kipigo kimoja kimebaki balaa kubwa litaibuka huko vidimbwini 🤣 🤣
 
Wana Yanga tuwe makini na uchochezi,ufitini na kila aina ya magomvi yanayoletwa moja kwa moja au kupitia kwa hao tunaodhani washauri kumbe wanalo lao moyoni.Nia yangu ni kutuchanganya,kutugombanisha na kufanya kuloose focus ya malengo yetu wao wamekaa pembeni
Washabiki wa yanga wamedanganywa vya kutosha na uongozi wao, wana haki ya kuhoji madudu yanayofanyika na kuchukua maamuzi sahihi

Adui na mchochezi mkubwa wa yanga ni yanga mwenyewe
 
Dah...Ndoto za Kunyanyua Kwapa Mwaka huu Zimeyeyuka.....! Year Lebela na Wenzake wawajibike....!
 
Watopolo wameshajua mchawi wao ni nani. Si TFF, si bodi ya ligi, si marefa na wala si kamati ya saa 72[emoji38][emoji38]

Bakora karibuni kuruka huko vidimbwini [emoji38][emoji38]

View attachment 1722050
Hii mburula inawagharimu sana
IMG-20210312-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom