Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Kwani malengo yetu ni yapi?Wana Yanga tuwe makini na uchochezi,ufitini na kila aina ya magomvi yanayoletwa moja kwa moja au kupitia kwa hao tunaodhani washauri kumbe wanalo lao moyoni.Nia yangu ni kutuchanganya,kutugombanisha na kufanya kuloose focus ya malengo yetu wao wamekaa pembeni
Washabiki wa yanga wamedanganywa vya kutosha na uongozi wao, wana haki ya kuhoji madudu yanayofanyika na kuchukua maamuzi sahihiWana Yanga tuwe makini na uchochezi,ufitini na kila aina ya magomvi yanayoletwa moja kwa moja au kupitia kwa hao tunaodhani washauri kumbe wanalo lao moyoni.Nia yangu ni kutuchanganya,kutugombanisha na kufanya kuloose focus ya malengo yetu wao wamekaa pembeni
Hivi yanga itahujimiwa na 'viongozi' wake mpaka lini?Tulieni Wamatopeni!
Hii mburula inawagharimu sanaWatopolo wameshajua mchawi wao ni nani. Si TFF, si bodi ya ligi, si marefa na wala si kamati ya saa 72[emoji38][emoji38]
Bakora karibuni kuruka huko vidimbwini [emoji38][emoji38]
View attachment 1722050