Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho.
Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu huu wa 2024/2025 dhidi ya Kagera Sugar.