Chizi hawezi kujijua kama yeye chizi na pengine chizi huona watu wengine ambao ni wazima ndo machizi na yeye ndo mzimaNakumbuka msimu Fulani hivi timu ya Simba ilizindua jezi zilizokua na ujumbe wa kuitangaza Tanzania, mashabiki wa Yanga walikichafua sana na kubeza kuwa timu ya Simba inaitangazaje Tz kwenye ligi ambayo wazungu hawaitazami, na blah blah nyingine nyingiiiiiii wakisahau kua haya ni mambo ya kawaida tu kwny mpira maana timu zetu hizi Mbili zimezoea kudhaminiwa na mdhamini mkuu mmoja Kwa muda Sasa mf Kilimanjaro na Sportpesa,
Juz hapa nimeskia Yanga nao wameweka kabango ka kuitangaza Tanzania kwenye jezi zao........
Wewe inakuuma niniNakumbuka msimu Fulani hivi timu ya Simba ilizindua jezi zilizokua na ujumbe wa kuitangaza Tanzania, mashabiki wa Yanga walikichafua sana na kubeza kuwa timu ya Simba inaitangazaje Tz kwenye ligi ambayo wazungu hawaitazami, na blah blah nyingine nyingiiiiiii wakisahau kua haya ni mambo ya kawaida tu kwny mpira maana timu zetu hizi Mbili zimezoea kudhaminiwa na mdhamini mkuu mmoja Kwa muda Sasa mf Kilimanjaro na Sportpesa,
Juz hapa nimeskia Yanga nao wameweka kabango ka kuitangaza Tanzania kwenye jezi zao........