Mashabiki wa Yanga nani kawaroga?

Leo unaranda randa na Comment hii kila mahari.Pata Mo Energy Mtani ikuongezee nguvu,maana naona kabisa unakoelekea leo si kuzuri [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila sio vibaya kuweka tarehe ya kuzaliwa ya Boss MO29 kwenye jezi ila wamesahau ya CEO wetu
 
Wewe ndio hujui kabisa MO29 ni Sabuni multipurpose umeshikiwa akili na kushikwa makalio pia
Ila katika ya msimu tutatoa jezi nyingine yenye tarehe ya Boss, Barbra na vunjabei
Tuendelee kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
Yanga tulieni sindano uwaingie, mkitingishika itawavunjikia..
 

Attachments

  • simbaasc+InstaUtility_-00_CTTzvlrKoob_11-241167173_594166631597568_638995453335677183_n.mp4
    566.1 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…