Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Kwani simba iliweza kuchomoa alivyopiga kimoja na mtimbwa na mwadui?Utafiti unaonyesha kwa sasa nchini Tanzania mashabiki wa yanga ndio watu wenye huzuni zaidi nchini.
Na hii inatokana na wao kutopenda kuchomoa pindi wanapochomekwa kimoja au viwili
Hakika mmedhihirisha ninyi ni Wanauchi na sio wananchi
NB: MODS KWANI NYIE YANGA MBONA MNAPENDA KUFUTA AU KUUNGANISHA NYUZI ZETU MBONA SISI TUKIITWA MBUMBUMBU MIKIA AU HIRIZI FC HAMFUTI WALA KUUNGANISHA NYUZI HIZO
Sent using Jamii Forums mobile app
Walipigwa kimoja tu wakapoteana hata muda wa kuchomoa hawakupata[emoji23]Kwani simba iliweza kuchomoa alivyopiga kimoja na mtimbwa na mwadui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna habari gan usiku huuWalipigwa kimoja tu wakapoteana hata muda wa kuchomoa hawakupata[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura bard sana kila siku wao tu
Kwani uoni umeandika utoto..watu na majukumu mazito..mpira ukiisha maisha yanaendeleaUtafiti unaonyesha kwa sasa nchini Tanzania mashabiki wa yanga ndio watu wenye huzuni zaidi nchini.