NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kutokana na interview yake ya kusema kuwa "Anaipenda sana Yanga na mashabiki wa Yanga."
Kutokana na kuibuka kila baada ya tukio muhimu yaani Yanga inapokuwa na mechi muhimu ni dhahiri kabisa bila ya kificho NALIA NGWENA nimegundua huyu bwana mdogo hana upendo wowote na mashabiki wa Yanga.
Mashabiki tungemuona ana upendo wa dhati endapo angesubiri matukio muhimu ya Yanga yangepita ndipo angeibuka na jambo lake.
Kwa mantiki hiyo Feisal Salumu hatolamba hata senti yangu.