Mashabiki wa Yanga pesa unayotaka kumchangia Feisal Salumu nunua chai na maandazi ukawatembelee wagonjwa au wafungwa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kutokana na interview yake ya kusema kuwa "Anaipenda sana Yanga na mashabiki wa Yanga."

Kutokana na kuibuka kila baada ya tukio muhimu yaani Yanga inapokuwa na mechi muhimu ni dhahiri kabisa bila ya kificho NALIA NGWENA nimegundua huyu bwana mdogo hana upendo wowote na mashabiki wa Yanga.

Mashabiki tungemuona ana upendo wa dhati endapo angesubiri matukio muhimu ya Yanga yangepita ndipo angeibuka na jambo lake.

Kwa mantiki hiyo Feisal Salumu hatolamba hata senti yangu.
 
Una tabia ya sigara Kali, wewe na mapashkuna wenzako si ndio mlikuwa mnamvimbisha kichwa Jana tu?

Hizi ni tabia za kimalaya malaya unatuletea hapa.
Kwa hiyo hutaki tuhoji??
Huna hoja na unajidhihirisha wazi kuwa wewe ni shabiki muhuni wa Yanga.
 
NA WEWE ULIKUWA UNATAKA KUMCHANGIA PIA!!!
SO UNAFIKIRI KWELI FEISAL HANA HELA KWELI YA KUENDELEA NA HII KESI KULE CAS?
KWELI NIMEKUPUNGUZA VYEO KWA HILI
 
MWALIMU NYERERE ALIWAONYA SANA WANASIASA WENYE TABIA ZA KIMALAYA MALAYA.

ANGALIA SANA
USIJE NA WEWE UKAWA SHABIKI MALAYA MALAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…