Mashabiki wa Yanga tukutane hapa tufarijiane

Mashabiki wa Yanga tukutane hapa tufarijiane

Niswala la kupeana pole tu
kwahili/haya yanayoikumba yanga yetu
 
Inasikitisha sana Jana sikulala kwa mawazo,Yanga haina mbele wala nyuma ,Nafikiri tatizo ni Mipango thabiti ya fedha,viongozi wasiojitambua,kocha na morali ya wachezaji.
 
Jana nilijua tutapigwa hofu yangu ilikuwa tutapigwa ngapi?


_Jf Mtawangu
 
Manji arudi kibonde maji hapa mbagala manji alisalimiwa na wazee waliompita umri hadi ni kaona aibu. Eti shikamoo kwa mikono miwili uku wame inama. Kama twanga walisema kwenye pesa si mwenzakoo nimekubali
 
Mi ni mpenzi wa yanga Demu lakini sio shabiki wa mpira, maana najijua hasira zangu pale ninapoweka malengo yangu halafu yasitimie. Na kwa yanga hii ya “AKILI MALI “sitarajii chochote cha faraja kwa sasa.
 
Back
Top Bottom