Inasikitisha sana Jana sikulala kwa mawazo,Yanga haina mbele wala nyuma ,Nafikiri tatizo ni Mipango thabiti ya fedha,viongozi wasiojitambua,kocha na morali ya wachezaji.
Manji arudi kibonde maji hapa mbagala manji alisalimiwa na wazee waliompita umri hadi ni kaona aibu. Eti shikamoo kwa mikono miwili uku wame inama. Kama twanga walisema kwenye pesa si mwenzakoo nimekubali
Mi ni mpenzi wa yanga Demu lakini sio shabiki wa mpira, maana najijua hasira zangu pale ninapoweka malengo yangu halafu yasitimie. Na kwa yanga hii ya “AKILI MALI “sitarajii chochote cha faraja kwa sasa.