Mashabiki wa Yanga wafurahia timu yao kufungiwa na FIFA, TFF

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Katika Hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Yanga ... maarufu kama wananchi mtandaon wamefurahia timu yao kupigwa rungu la usajili ambapo ingekuwa timu nyingine wangeanza kilio

Hizi ni baadhi ya maoni
" Bora tu mtufungie tu kusajili maana tusije endelea kuwapa watu [emoji112][emoji112]"

" Tufungieni tu bana kama wachezaji si mnaona wenyewe tunao wa kutosha....labda jirani ndo anahitaji wachezaji"

"Bora tupitie vikwazo kidogo maana hii furaha ya Yanga Kila siku itatuua....now we want problems

MASHABIKI WENGI WA YANGA WANAOMBA TIMU IFUNGIWE KUSAJILI LA SIVYO WATAUGUA KISUKARI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Je kitaalamu inaitwaje hii????
1712985425545.jpg
 
Kuna wachezaji wa mikopo Kama kibabage, wengine mkataba unaisha hapo ndipo unapokubaliana na usemi wa kuwa wenye akili ni wawili.
 
Ulitaka waanze kuwaporomoshea matusi akina Hersi kama wafanyavyo wanathimba. Timu ikishinda anasifiwa chama na kibu d ila ikifungwa matusi kwa mangungo wa msovero na try again?
[emoji23][emoji23]
 
Katika Hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Yanga ... maarufu kama wananchi mtandaon wamefurahia timu yao kupigwa rungu la usajili ambapo ingekuwa timu nyingine wangeanza kilio

Hizi ni baadhi ya maoni
" Bora tu mtufungie tu kusajili maana tusije endelea kuwapa watu [emoji112][emoji112]"

" Tufungieni tu bana kama wachezaji si mnaona wenyewe tunao wa kutosha....labda jirani ndo anahitaji wachezaji"

"Bora tupitie vikwazo kidogo maana hii furaha ya Yanga Kila siku itatuua....now we want problems

MASHABIKI WENGI WA YANGA WANAOMBA TIMU IFUNGIWE KUSAJILI LA SIVYO WATAUGUA KISUKARI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Je kitaalamu inaitwaje hii????View attachment 2962007
Mzee umefilisika kweli na hoja. Yaani comments za watu tena usiojua elimu zao zipoje ndio za kukufanya kuja kuanzishia uzi?
 
Back
Top Bottom