Leo katika mechi ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons, Wakati Aziz Ki alipoenda kupiga kona, mashabiki walimzonga kwa kumwambia aache hilo jukumu la kupiga kona lifanywe na mchezaji mwenzake na yeye aende kwenye box la Tanazania Prisons ili ajaribu kufunga.