Pamoja mkuuBaada ya kukacha ushabiki wa mpira kwa muda mrefu sasa, wale mashabiki wa kocha mtukutu, mjuaji na mbeba vikombe tukutane tena.
Baada ya kukacha ushabiki wa mpira kwa muda mrefu sasa, wale mashabiki wa kocha mtukutu, mjuaji na mbeba vikombe tukutane tena.
Mtaalamu MOU amerudi sasaBaada ya kukacha ushabiki wa mpira kwa muda mrefu sasa, wale mashabiki wa kocha mtukutu, mjuaji na mbeba vikombe tukutane tena.
[emoji12] [emoji12]Na mimi sasa nimepata timu ya kushangilia nilikuwa niko bench.
Me huwa nahama nae kila anapoenda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaanza vizur JosΓ©
Tupo wengi mkuu π..!! Yule jamaa ni bamba to bamba , burdan Sana akiwepo kwenye touchlineMe huwa nahama nae kila anapoenda π π π π