Mashabiki wa Zari(Team Zari) Uganda wajaribu kumzingua Diamond

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Jionee mwenyewe walivyojaribu kumzingua mondi lakini baada ya kupewa mziki mzuri wenyewe walilewa kwa dozi tamu ya Diamond's Music
 
Walitaka asimamishe show ili awaombe msamaha kwa kum cheat Zari.Pia awaeleze Zari yuko wapi kwa sasa.Baadae muziki uliendelea kama kawaida wakilitaja jina la SIMBA,SIMBA,SIMBA
 
Kilicho back n kutembeza
domo kwenye show uchwara
 
Nimeshangaa hadi mitoto ya kiume inapiga kelele eti kwanini kamuacha zari. Wapumbav kabisa(in Magu's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…